However the fans were quick to notice that the grandson had a black thread tied on his wrist and could not resist asking why? The new grandmother in town claimed it was their culture which ought to be followed.
It is believed that the thread helps to prevent bad omen and bad spirit from possessing the baby. Here is the reaction from the fans.
ushindimaarifa Vipi kuhusu icho kifundo cheusi cha kazi gani mkononi
shanizprinces @ushindimaarifa hehehehe hirizi….uuuuiii kwani huamaanisha Nini jamani?? Ama ndo bangle ya maridadi
ushindimaarifa @krasheedy kuzuia nn ukihitajika unafatwa vizuri sema tu watu hawana iman na muumba wao wanamsema kwa midom yao ila roho zao ziko kwa waganga
mama_dacotah @liliansaharan umeona mi wanangu hawaji kufungwa ushenzi Kama huo mtoto analindwa na Mungu unatamiwa kila kitu kumkabizi Mungu yaani na Tanasha kakubali upuuzi huo khaaa,mtoto anafungwa ushetani akiwa mdogo mpaka anakua anamizigo kibao,Mungu ndio kila kitu
mushi3560 @ushindimaarifa mimi mwenyewe nashangaa mtoto mzuri kifundo tena
llykejonness @ancilaassenga Even in Mombasa they do that alot when babies are born..waislam wengi hufanya hivyo ni utamaduni….hata wewe kunakitu unakiamini… ..stop being judgemental over other people’s beliefs , practices and culture.
EmoticonEmoticon